Mkesha wa AFLEWO 2018

Mkesha wa AFLEWO 201803 Aug 21:00 - 04 Aug 06:00 - Dar es Salaam
City Christian Church C.C.C -Upanga

Route

Mkesha wa AFLEWO ni mkesha wa kusifu na kuabudu na maombi unaofanyika kila mwaka mara moja. Kusudi la huu mkesha ni kuunganisha mwili wa Kristo. Kwaya ya AFLEWO imajumuisha waimbaji na wanamuziki kutoka madhehebu mbalimbali.
#RestoringTheTrueWorship #AFLEWOTz2018Aug3© 2019 Siguez